Nili upload kinakosa cheti cha chuo àmbapo kimoja niliweka chenye kuhuri wa mwanasheria na kingine ambacho nimekosea hakina muhuri wa mwanasheria,sasa nimejaribu kufutaa nimeshindwa kwà mda mrefu.
Làkiñi pia kwenye education background nilikosea kwa kuweka coz ambayo sio yangu,kwahiyo pale panaonyeshaa ninà shàhada mbili nà moja wapo sijasomea niliweka kinamkosa.