- Joined
- Nov 29, 2024
- Messages
- 2
Katika kujaza taarifa application za kazi za jeshi la polisi ,index number za form four zinagoma shida ni nini?
Ukianza S3950-0078 inaandika invalid format? Ila ukijaribu s3954/0079 inaseach ila inajibu system error.naomba msaada