L leyricarda New member Joined Jan 21, 2025 Messages 1 Jan 21, 2025 #1 Naomba kuuliza jinsi ya ku attach vyeti na una attach kwa mpangilio upi na una attach kwenye cv au application letter? M Ajira za kilimo wametusahau sanaa sisi jaman T Kuhusu utofaut wa majina
Naomba kuuliza jinsi ya ku attach vyeti na una attach kwa mpangilio upi na una attach kwenye cv au application letter? M Ajira za kilimo wametusahau sanaa sisi jaman T Kuhusu utofaut wa majina
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,220 Jan 21, 2025 #2 Kama ni katika account yako ya ajira portal anza na cheti cha form four kisha cheti cha form six kama ulifika kidato cha sita kama hukufika endelea kuweka cheti cha chuo na transcript yake Upvote 0 Downvote
Kama ni katika account yako ya ajira portal anza na cheti cha form four kisha cheti cha form six kama ulifika kidato cha sita kama hukufika endelea kuweka cheti cha chuo na transcript yake