M

Ajira za kilimo wametusahau sanaa sisi jaman

Fatilia tu matangazo yanayotumwa mara kwa mara SUA mwaka jana walitangaza nafasi zaidi ya 1200 hukutuma maombi?
sawa zile ni za mkataba,nazo zinaenda kwa awamu mi nazungumzia za serikalini tyulifanya application tangu mwaka jana mwezi wa sita mpaka saiz no feedback,,
 
sawa zile ni za mkataba,nazo zinaenda kwa awamu mi nazungumzia za serikalini tyulifanya application tangu mwaka jana mwezi wa sita mpaka saiz no feedback,,
Wataita tu subiria, si application status bado imeandikwa RECEIVED?
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom