Ajira za kilimo wametusahau sana sisi tangu mwezi wa sita mwakajana
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an alternative browser.
You should upgrade or use an alternative browser.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Fatilia tu matangazo yanayotumwa mara kwa mara SUA mwaka jana walitangaza nafasi zaidi ya 1200 hukutuma maombi?Ajira za kilimo wametusahau sana sisi tangu mwezi wa sita mwakajana
sawa zile ni za mkataba,nazo zinaenda kwa awamu mi nazungumzia za serikalini tyulifanya application tangu mwaka jana mwezi wa sita mpaka saiz no feedback,,Fatilia tu matangazo yanayotumwa mara kwa mara SUA mwaka jana walitangaza nafasi zaidi ya 1200 hukutuma maombi?
Wataita tu subiria, si application status bado imeandikwa RECEIVED?sawa zile ni za mkataba,nazo zinaenda kwa awamu mi nazungumzia za serikalini tyulifanya application tangu mwaka jana mwezi wa sita mpaka saiz no feedback,,
NdiyooAjira za kilimo wametusahau sana sisi tangu mwezi wa sita mwakajana
Similar content
Most view
View more
| D |
Ajira za abacus pharmacy
|
| P |
Changamoto za kuomba ajira za zimamoto
|
| S |
Ajira
|
|
|
Nafasi za Ajira Mbeya cement
|
| D |
Kutoa cheti ajira portal
|