- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Wakati Yanga wamewaka kwenye game hizi tano za mwisho …. Chama Clatous anarejea mazoezini kuongeza nguvu kwenye eneo la namba 10.
Ramovic kikosi chake kinazidi kuwa kipana, wachezaji wenye majeraha wanaanza kurejea kwenye nyakati muhimu.
Ni nyakati ambazo hazitakuwa na Excuse yeyote.…. Muhimu ni Alama 3 kwenye michezo miwili ya CAFCL.