Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) Myunga Campus

Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) Myunga Campus Ada, Sifa, Vigezo

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam - Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) ina kampasi ya Myunga iliyozinduliwa rasmi tarehe 2 Julai 2020. Kampasi hii iko katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, na inatoa mafunzo katika uhandisi wa kiraia kuanzia ngazi ya NTA 4 hadi 6.

Kozi: Civil Engineering
Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) Myunga Campus

Kwa maelezo zaidi kuhusu programu zinazotolewa, masharti ya kujiunga, na taarifa nyingine, unaweza kutembelea tovuti rasmi ya DIT.
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom