- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 180
Klabu ya Namungo ‘The Southern Killers’ imethibitisha kumsajili aliyekuwa beki wa Azam Fc, Daniel Amoah raia wa Ghana kama mchezaji huru baada ya mchezaji huyo kukosa timu ya kuitumikia tangu alipoachana na Wanalambalamba hao mwishoni mwa msimu 2023/24.