Teknolojia inazidi kuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku, na ujuzi katika sekta hii unazidi kuwa na thamani kubwa kwenye soko la ajira. Kupitia elimu ya teknolojia, vijana na wataalamu wanaweza kupata fursa nyingi za ajira katika sekta za serikali, viwandani, na mashirika mbalimbali.
Mada zitakazojadiliwa ni pamoja na:
Umuhimu wa kujifunza ujuzi wa TEHAMA
Kozi na mafunzo yanayohitajika kuingia katika sekta ya IT
Fursa za kazi katika sekta ya serikali na mashirika binafsi
Jinsi ya kuboresha ujuzi wako ili kuongeza nafasi ya kupata ajira
Mada zitakazojadiliwa ni pamoja na:



