Fahad Bayo Agonga Mwamba Yanga Sc Dirisha Dogo

Fahad Bayo Agonga Mwamba Yanga Sc Dirisha Dogo 2024/2025

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
192
Club ya Young Africans, imeachana na mpango wa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa kutoka Uganda Fahad Bayo, baada ya mchezaji huyo kushindwa kuonyesha kiwango bora ambapo pengine kingeweza kuushawishi uongozi pamoja na benchi la ufundi.
FB_IMG_1736416251165.webp

Licha ya kufanya na mazoezi na klabu hiyo katika viwanja vya Avic Town takribani miezi miwili, mshambuliaji huyo atajiunga na Club Rayon Sports FC ya Nchini Rwanda. IT'S OVER.
 
Back
Top Bottom