Fomu ya Maombi ya Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu

Fomu ya Maombi ya Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu 2025-2026 PDF

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,344
Hii hapa Fomu ya Maombi ya Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu andika majina ya vyuo vitatu(3) unavyopenda kwenda kusoma kuendana na fani uliyochagua.

Maelezo kuhusu fomu:
1. Fomu zitaanza kutolewa kuanzia tarehe 22/4/2025 na mwisho wa kuchukua na kurudisha Fomu nitarehe 20/6/2025
2. Matokeo ya waliochaguliwa yatatolewa tarehe 27 June , 2025 na yatabandikwa katika mbao zamatangazo vyuoni na pia yatawekwa kwenye tovuti ya VETA
3. Taja Chuo utakachorudisha fomu ya maombi

Pakua hapa fomu.
Fomu ya Maombi ya Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom