Uzi wa Mnyama ambao tutatumia katika Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25
#WenyeNchi #NguvuMoja
Kama ilivyotangazwa kwamba leo Novemba 20 Timu ya @simbasctanzania Itazindua jezi mpya zitakazo tumika kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika msimu wa 2024/25.