He'll napenda kuliza unayapataje matangazo ya kazi kwa mfumo wa barua. Kwa sababu mara nyingi inatumwa link lakini ukibonyeza haiji moja kwa moja barua isipokuwa yanakuja malekezo tu ambayo hayajakizi taarifa nzima. Naomba nipate msaada wa kuelekezwa.
Ahsante.
Ahsante.