G

Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi JWTZ 15-04-2026

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hizi hapa hatua kwa hatua Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi JWTZ Maombi yote yaandikwe kwa mkono na yawasilishwe Makao Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia tarehe 14 Aprili, 2026 hadi tarehe 28 Aprili, 2026 yakiwa na viambatisho vifuatavyo:

a. Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA.
b. Nakala ya cheti cha kuzaliwa, vyeti vya Shule na Chuo.
c. Nakala ya cheti cha JKT kwa waombaji waliomaliza mkataba wa kujitolea.
d. Nambari ya simu ya mkononi ya mwombaji.

Maombi yatumwe kwa Anuani Ifuatayo:

Mkuu wa Utumishi Jeshini

Makao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 194,
DODOMA, Tanzania
Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi JWTZ


Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi JWTZ


Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi JWTZ
 
Last edited by a moderator:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom