repinussotery

Jinsi ya kuweka vyeti recruitment portal

Nina changamoto naomba ufafanuzi kidogo ni vyeti gani vinatakiwa upande wa academic qualifications na vyeti gani vinatakiwa upande wa professional qualifications?
1. Academic qualification unaweka vyeti mfano cheti cha form four, six, chuo,
2. Proffesional qualification kama kozi yako iko chini ya Bodi / wizara mfano kwa watu waliosomea Nursing lazima wawe na leseni hiyo leseni ndio wanaweka hapo kwenye professional qualification.
 
Back
Top Bottom