Jonathan Ikangalombo Ni Mali Ya Yanga Sc

Jonathan Ikangalombo Ni Mali Ya Yanga Sc

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa Winga Jonathan IkangaLombo 🇨🇩 akitokea AS Vita Club katika dirisha hili dogo la uhamisho
FB_IMG_1736072332975.webp


Jonathan IkangaLombo amesaini mkataba wa miaka miwili hii leo na muda wowote kuanzia hivi sasa atapewa vifaa vya mazoezi katika klabu hiyo.

Ikangalombo atakwenda kuchukua nafasi ya Jean Baleke ambae kashindwa kutamba kakika Kikosi hicho Cha Kariakoo Young African.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom