S Salari m augustino New member Reputation: 1% Joined Nov 28, 2024 Messages 3 Apr 16, 2026 #1 Wakuu habarini . Hivi maombi ya jwtz unapeleka physically au unatuma kwa njia ya posta.? Nimepata mkanganyiko Msaada kwenye "tell us about yourself" Matokeo ya Oral Interview huwa yanatoka baada ya mda Gani
Wakuu habarini . Hivi maombi ya jwtz unapeleka physically au unatuma kwa njia ya posta.? Nimepata mkanganyiko Msaada kwenye "tell us about yourself" Matokeo ya Oral Interview huwa yanatoka baada ya mda Gani