- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 182
Wananchi baada ya kushinda michezo minne mfululizo ya ligi kuu sasa wanarejea kwenye michuano ya kimataifa.
Ambapo ratiba inaonyesha kuwa Yanga Jumamosi hii January 4,2025 watawakaribisha TP Mazembe katika Uwanja wa Mkapa,Dar.
Wanachi wenye pointi 1 tu wanasaka ushindi wao wa kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Africa..
Malengo ya wananchi Yanga ni kukusanya Point Tisa "9" katika Michezo Mitatu "3" ijayo katika michuano ya kilabu bingwa Africa CAFCL