KUAHIRISHWA KWA USAILI WA KADA YA ARTISAN GRADE II (MOTOR VEHICLE MECHANICS) SHIRIKA LA MZINGA

KUAHIRISHWA KWA USAILI WA KADA YA ARTISAN GRADE II (MOTOR VEHICLE MECHANICS) SHIRIKA LA MZINGA AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Katibu, Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wa kada ya ARTISAN GRADE II ( MOTOR VEHICLE MECHANICS) wa Shirika la Mzinga kuwa, usaili uliopangwa kufanyika tarehe 10/05/2026, 03/06/2026 na tarehe 04/06/2026 umeahirishwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
KUAHIRISHWA KWA USAILI WA KADA YA ARTISAN GRADE II (MOTOR VEHICLE MECHANICS) SHIRIKA LA MZINGA
 
Back
Top Bottom