Katibu, Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wa kada ya ARTISAN GRADE II ( MOTOR VEHICLE MECHANICS) wa Shirika la Mzinga kuwa, usaili uliopangwa kufanyika tarehe 10/05/2026, 03/06/2026 na tarehe 04/06/2026 umeahirishwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
KUAHIRISHWA KWA USAILI WA KADA YA ARTISAN GRADE II (MOTOR VEHICLE MECHANICS) SHIRIKA LA MZINGA AJIRA PORTAL
- Thread starter Sia
- Start date
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Similar content
Most view
View more