Naomba kuuliza kuhusu swala la majina kwenye vyeti vyote natumia AMINA SAID ALLY lakini kwenye cheti cha kuzaliwa jina la baba ni SAID MAKATA ALLY mimi natumia jina la baba na la ukoo je hii inaweza kuleta tatizo lolote? Je nahitaji iyo deed pol?
1. Tembelea kwa mwanasheria au Mahakamani watakupa ushauri mzuri zaidi
2. Kwa hiyo issue ni kwenda kuchukua kiapo ukubali kuwa yote hayo majina kama yalivyo kwenye vveti ni yako