MABADILIKO YA RATIBA AU MAHAPI PA USAILI - 29 APRILI 2025

MABADILIKO YA RATIBA AU MAHAPI PA USAILI - 29 APRILI 2025 AJIRA PORTAL

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Wasailiwa mnaarifa kuwa, kuna mabadiliko ya ratiba au mahali pa usaili kwa kada zote za NECTA, baadhi ya kada za MDA’s & LGA’s pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili kama inavyoonekana hapa chini;-
  • Usaili wa vitendo na mahojiano kwa kada zote za NECTA umesogezwa mbele hadi tarehe 20 - 21 Mei 2025.
  • Usaili wa mahojiano kwa kada ya ‘Medical Officer II’ – Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) utafanyika tarehe 6 Mei, 2025.
  • Usaili wa Mahojiano kwa kada ya ‘Msaidizi wa Kumbukumbu II’ – MDA’s & LGA’s umesogezwa mbele hadi tarehe 18 Mei, 2025 na utafanyika katika Shule ya Sekondari Dodoma
  • Usaili wa mahojiano kwa kada ya ‘Afisa TEHAMA Msaidizi II’ – MDA’s & LGA’s utafanyika katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira kwa tarehe zilizopo katika tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Wasailiwa wote mnasisitizwa kuzingatia maelekezo yaliyopo kwenye tovuti ya www.ajira.go.tz na katika akaunti zenu za “Ajira Portal”
MABADILIKO YA RATIBA AU MAHAPI PA USAILI - 29 APRILI 2025
 
Back
Top Bottom