MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KADA YA KITCHEN ATTENDANT III-BENKI KUU YA TANZANIA

MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KADA YA KITCHEN ATTENDANT III-BENKI KUU YA TANZANIA AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wa Kada ya Kitchen Attendant III ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwamba, kutakuwa na usaili wa kuandika (Mchujo) kabla ya usaili wa vitendo. Usaili huo (Mchujo) utafanyika kwa njia ya Mtandao tarehe 31 Mei, 2026, tembelea akaunti yako ya Ajira Portal na tovuti ya ajira.go.tz kwa taarifa zaidi.
MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KADA YA KITCHEN ATTENDANT III-BENKI KUU YA TANZANIA
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom