Mabadiliko ya Sehemu ya kufanyia Usaili TRC Utumishi | Shirika la Reli Tanzania

Mabadiliko ya Sehemu ya kufanyia Usaili TRC Utumishi | Shirika la Reli Tanzania 31 Oktoba 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Gift submitted a new resource:

Mabadiliko ya Sehemu ya kufanyia Usaili TRC Utumishi | Shirika la Reli Tanzania - Mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa mahojiano kada ya mechanical artisans II (TRC) Utumishi.

Kama wewe ni miongoni mwa wasailiwa wa kada ya Mechanical Artisans II (Shirika la Reli Tanzania - TRC), tunayo habari muhimu kuhusu mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa mahojiano.
Mabadiliko ya Sehemu ya kufanyia Usaili TRC Utumishi | Shirika la Reli Tanzania
Mabadiliko ya Mahali:
Usaili wa mahojiano sasa utafanyika katika Ofisi za Shirika la Reli Tanzania (TRC) Makao Makuu, Dar es Salaam, badala ya Ofisi za...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom