Gift submitted a new resource:
Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT - Orodha ya Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT
Read more about this resource...
Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT - Orodha ya Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT
Hii hapa Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT Wizara ya Kilimo inawatangazia vijana 418 waliopangiwa shamba la Mlazo/Ndogowe kwamba wanapaswa kuwasili shambani kwa ajili ya kuanza uzalishaji katika msimu huu wa kilimo.
Ratiba ya Kuwasili
Utaratibu wa kuwasili umegawanywa katika makundi mawili:
- Kundi la Kwanza: Vijana 209 wataripoti tarehe 12 Januari 2025.
- Kundi la Pili: Vijana 209 wataripoti tarehe 13 Januari...
Read more about this resource...