Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT

Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT 31-12

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,320
Gift submitted a new resource:

Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT - Orodha ya Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT

Hii hapa Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT Wizara ya Kilimo inawatangazia vijana 418 waliopangiwa shamba la Mlazo/Ndogowe kwamba wanapaswa kuwasili shambani kwa ajili ya kuanza uzalishaji katika msimu huu wa kilimo.

Ratiba ya Kuwasili​

Utaratibu wa kuwasili umegawanywa katika makundi mawili:
  1. Kundi la Kwanza: Vijana 209 wataripoti tarehe 12 Januari 2025.
  2. Kundi la Pili: Vijana 209 wataripoti tarehe 13 Januari...

Read more about this resource...
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom