Majina wa Walioitwa kwenye Mafunzo SIHA Ajira za INEC 2024

Majina wa Walioitwa kwenye Mafunzo SIHA Ajira za INEC 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Hii hapa orodha ya Majina wa Walioitwa kwenye Mafunzo SIHA Ajira za INEC 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Siha anawatangazia wale waliofaulu kwenye usaili wa nafasi za Uandikishaji Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Biometriki (BVR) uliofanyika tarehe 05/11/2024 na 06/11/2024, kuhudhuria mafunzo muhimu ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.

Taarifa za Mafunzo​

Tunawasihi waliofaulu kufika kwa wakati ili kuhakikisha mafunzo yanafanyika kwa ufanisi.
  • Tarehe: 08/12/2024 hadi 09/12/2024
  • Mahali: Ukumbi wa RC, Sanya Juu
  • Muda: Kuanzia saa 01:30 Asubuhi.
Majina wa Walioitwa kwenye Mafunzo SIHA Ajira za INEC 2024

Orodha ya Majina: Majina ya waliofaulu usaili yameambatishwa kwenye tangazo hili kwa ajili ya marejeo. Tafadhali hakikisha unakagua jina lako.

INEC Siha yaita watu kwenye mafunzo, Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na ofisi ya Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Siha au pakua PDF hapa chini.
 

Download PDF

Back
Top Bottom