Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini

Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini 27-12

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
Gift submitted a new resource:

Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini - Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini

Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21 Aprili 2024 na tarehe 18 Novemba 2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom