Majina ya Walioitwa Kazini Sekretarieti ya Ajira Utumishi | Taasisi Mbalimbali PDF

Majina ya Walioitwa Kazini Sekretarieti ya Ajira Utumishi | Taasisi Mbalimbali PDF 20241115

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Gift submitted a new resource:

Majina ya Walioitwa Kazini Sekretarieti ya Ajira Utumishi | Taasisi Mbalimbali PDF - Kuitwa kazini Sekretarieti ya Ajira Utumishi na Ajira Portal PDF, Kada za Afya, walimu, na zingine.

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Sekretarieti ya Ajira Utumishi | Taasisi Mbalimbali PDF Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 01 Mei 2023 mpaka 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji...

Read more about this resource...
 
Gift updated Majina ya Walioitwa Kazini Sekretarieti ya Ajira Utumishi | Taasisi Mbalimbali PDF with a new update entry:

TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI MBALIMBALI 15-11-2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Tangazo la kuitwa kazini​

Kuona orodha kamili ya...

Read the rest of this update entry...
 
Back
Top Bottom