Majina ya Walioitwa Kazini TORITA, TARURA, CMA, AICC, TALIRI, TRC, MUCE, TCRA, TEMESA, TMA Desemba

Majina ya Walioitwa Kazini TORITA, TARURA, CMA, AICC, TALIRI, TRC, MUCE, TCRA, TEMESA, TMA Desemba 27 Desemba 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
Gift submitted a new resource:

Majina ya Walioitwa Kazini TORITA, TARURA, CMA, AICC, TALIRI, TRC, MUCE, TCRA, TEMESA, TMA Desemba - Kuitwa kazini TORITA, TARURA, CMA, AICC, TALIRI, TRC, MUCE, TCRA, TEMESA, TMA

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini TORITA, TARURA, CMA, AICC, TALIRI, TRC, MUCE, TCRA, TEMESA, TMA Desemba 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-04-2024 na tarehe 18-11-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Kuitwa kazini Ajira Portal (Utumishi)​

Orodha ya majina haya pia inajumuisha...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom