Tangazo la Nafasi za Kazi Wilaya ya Mafia - Desemba 2024

Tangazo la Nafasi za Kazi Wilaya ya Mafia - Desemba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,180
Gift submitted a new resource:

Tangazo la Nafasi za Kazi Wilaya ya Mafia - Desemba 2024 - Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia amepokea Kibali cha Ajira Mpya kwa Ikama ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kwa upande wa nafasi za Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01/D/065 cha tarehe 09 Julai, 2024 kwa upande wa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III. Hivyo Watanzania...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom