Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Kada za Afya

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Kada za Afya 28 Octoba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,273
Gift submitted a new resource:

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Kada za Afya - Orodha ya majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Kada za Afya katika PDF

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Kada za Afya Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 07 Desemba 2023 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu...

Read more about this resource...
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom