Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Kilimanjaro

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Kilimanjaro 05 Novemba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,320
Gift submitted a new resource:

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Kilimanjaro - Kuitwa kazini Utumishi na Ajira Portal - Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro PDF PSRS leo

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Kilimanjaro Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 08 Desemba 2023 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji...

Read more about this resource...
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom