Nafasi za Kazi Kutoka CoCa Cola Kwanza Tanzania | Ajira Mpya

Nafasi za Kazi Kutoka CoCa Cola Kwanza Tanzania | Ajira Mpya 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,187
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Kutoka CoCa Cola Kwanza Tanzania | Ajira Mpya - Nafasi za kazi zilizo tangazwa na Kampuni ya Coca Cola Tanzania - Ajira Mpya za Makampuni.

Hizi hapa Nafasi za kazi zilizo tangazwa na Kampuni ya Cocacola kwanza Tanzania - Ajira Mpya za Makampuni kwa watanzania wote wenye nia na sifa za kutuma maombi ya kazi.

Sisi ni mshirika wa nane kwa ukubwa ulimwenguni kwa mapato katika ufungaji wa vinywaji vya Coca-Cola na mkubwa zaidi barani Afrika, tukichangia karibu 40% ya kiasi cha Coca-Cola kinachouzwa barani. Tunaajiri zaidi ya watu 18,000 na viwanda vyetu 40 vya kufungasha vinahudumia zaidi ya vituo vya wateja 720,000...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom