Majina ya Waliopata Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama: Kuitwa Kazini JSC

Majina ya Waliopata Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama: Kuitwa Kazini JSC

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,651
Dar Es Salaam: JSC imetangaza orodha ya majina ya walioitwa kazini leo pia waliopata kibali cha ajira Kufuatia kukamilika kwa usaili wa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 05 Julai, 2024, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anawatangazia waombaji wafuatao hapa chini kuwa, wamefaulu usaili na kuchaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama. Wahusika wote watatumiwa barua zao za ajira kwenye baruapepe zao (email). Kwa wale ambao majina yao hayakutokea katika Tangazo hili, wafahamu kuwa kwa sasa hawajafanikiwa kupata ajira kwa nafasi tajwa.
Majina ya Waliopata Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama: Kuitwa Kazini JSC

Orodha ya Majina kwa kila Kada​

  1. Hakimu Mkazi II – TJS 2 (Nafasi 32)
  2. Afisa Hesabu II – TGS D (Nafasi 13)
  3. Msaidizi Wa Hesabu I – TGS C (Nafasi 36)
  4. Afisa Tawala II – TGS D (Nafasi 5)
  5. Afisa Ugavi II – TGS D (Nafasi 5)
  6. Afisa Ugavi Msaidizi – TGS C (Nafasi 13)
  7. Msaidizi Wa Kumbukumbu II – TGS C (Nafasi 6)
  8. Mwandishi Mwendesha Ofisi II – TGS C (Nafasi 13)
  9. Dereva II – TGS B (Nafasi 21)
  10. Msaidizi Wa Ofisi – TGOS A (Nafasi 9)
  11. Mlinzi – TGOS A (Nafasi 7)
  12. Afisa Tehama II (System Developer) – TGS E (Nafasi 7)
  13. Afisa Tehama II (System Security) – TGS E (Nafasi 4)
  14. Afisa Tehama II (System Administrator) – TGS E (Nafasi 4)
  15. Afisa Tehama II (Data Scientist) – TGS E (Nafasi 4)
  16. Afisa Tehama II (System Analyst) – TGS E (Nafasi 12)
  17. Afisa Tehama II (Network Administrator) - TGS E (Nafasi 4)
  18. Afisa Tehama II (Web And Multimedia) – TGS E (Nafasi 4)
  19. Fundi Sanifu II (Civil) – TGS C (Nafasi 10)
  20. Fundi Sanifu II (Plumbing) – TGS C (Nafasi 6)
  21. Fundi Sanifu II (Electrical) – TGS C (Nafasi 8)
  22. Fundi Sanifu II (Mechanical) – TGS C (Nafasi 1)
  23. Fundi Sanifu II (Air Condition) – TGS C (Nafasi 1)
  24. Fundi Sanifu II (Welding And Fabrication) – TGS C (Nafasi 1)
  25. Fundi Sanifu II (Hydrogeology And Water Well Drilling) – TGS C (Nafasi 3)
  26. Mhasibu II – TGS E (Nafasi 4)
  27. Afisa Sheria II – TGS E (Nafasi 1)
  28. Afisa Usafirishaji II – TGS E (Nafasi 1)
  29. Mhandisi Wa Majengo II (Civil) – TGS E (Nafasi 1)
  30. Mhandisi II (Mechanical) – TGS E (Nafasi 1)
  31. Msanifu Majengo (Architect) – TGS E (Nafasi 1)
  32. Mhandisi Mkadiria Majenzi II (Quantity Surveyor) – TGS E (Nafasi 1)
 

Download PDF

Last edited:
Back
Top Bottom