Mapumziko: Cs Sfaxien 0 vs 1 Simbasc TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

Mapumziko: Cs Sfaxien 0 vs 1 Simbasc TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
160
πŒπ‚π‡π„π™πŽ 𝐍𝐈 πŒπ€ππ”πŒπ™πˆπŠπŽ

Well done Lunyasi dakika 45 bora mmecheza πŸ‘ mikakati sahihi timu ikiwa na mipira (pasi sahihi za mbele na uharaka kwenye matukio muhimu βœ…)

Goli limehusisha pasi tatu tu!.. hawa Cs Sfaxien ni kama wamepoteana hivi hasa wakifika kwenye nusu ya Simba wanakuwa na idadi ndogo ya wachezaji.

Kazi ya washambuliaji tayari wameshafanya kipindi cha kwanza...kilichobaki ni kwa mabeki tu!

CS Sfaxien 0-1 Simba SC
⚽Ahoua (πŸ…°οΈAteba)
-4sr9q8.webp
 
Back
Top Bottom