Mapumziko: Simba SC 2 vs 0 Ken Gold

Mapumziko: Simba SC 2 vs 0 Ken Gold

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
Kipindi Cha kwanza kimeisha huku Simba wa Msimbazi wapo kifua mbele Kwa Goli mbili zote zikiwekwa kimiani na Leonel Ateba katika dakika ya 42' na 44' huku Ken Gold bado hawajapata Kitu.
FB_IMG_1734530066276.webp
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom