- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Game bora kuishuudia…. High intensity Simba wanaunda mashambulizi kwa uharaka sana kwa kutumia mawings wao (Mpanzu na Kibu) ambao wanakuwa wides sana : Simba wanaanza Build Up vizuri sana wanaipita pressing ya Singida kwa pasi fupi fupi + Position ya viungo wao
Singida hawakuzuia wakiwa chini walianza kuwa kuwapress Simba kuanzia juu lakini pressing yao haikuwa nzuri sana . Build Up wanapoteza mipira kirahisi mno na Simba wanapressing na idadi nzuri ya wachezaji then wanafanya “Quicky Transition” iliwapa wakati mgumu Singida .
Metcha Mnata Mpanzu mtu sana Anthur Bada Kagoma anachafua sana pale kwenye kiungo