Mapumziko: Singida BS 0 vs 1 Simbasc Nbc PL

Mapumziko: Singida BS 0 vs 1 Simbasc Nbc PL

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Game bora kuishuudia…. High intensity 🔥 Simba wanaunda mashambulizi kwa uharaka sana kwa kutumia mawings wao (Mpanzu na Kibu) ambao wanakuwa wides sana : Simba wanaanza Build Up vizuri sana wanaipita pressing ya Singida kwa pasi fupi fupi + Position ya viungo wao 👍

Singida hawakuzuia wakiwa chini walianza kuwa kuwapress Simba kuanzia juu lakini pressing yao haikuwa nzuri sana . Build Up wanapoteza mipira kirahisi mno na Simba wanapressing na idadi nzuri ya wachezaji then wanafanya “Quicky Transition” iliwapa wakati mgumu Singida .

Metcha Mnata 🤔 Mpanzu mtu sana 👏 Anthur Bada 🔥 Kagoma anachafua sana pale kwenye kiungo ✅
FB_IMG_1735394005879.webp
 
Back
Top Bottom