M

Maswali ya TRADE OFFICER oral interview

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nauliza jaman watu wa trade officer oral tumepangiwa kesho interview 16/4/26 lakini mpka saivi usiku hawajaweka venue na wala hawajasema kama wamegairi Ila tu kuna muda ndo upo. Kwaio ni tunajiendea tu kesho au
Vituo mbona vilitolewa mkuu, Usaili utafanyika katika mkoa wako husika.
 
Back
Top Bottom