- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Hii Yanga imepoteza ubora wake gafla sana sio Yanga ile ya msimu uliopita ….. Dube anaokoa Jahazi kwa Wananchi dakika za mwisho “Atleast” wamepunguza mzigo mkubwa .
Yanga kuvuna Alama 1 leo pale Lubumbashi inaweza kuwa “Turning Point” yao nzuri sana kurejea kwenye ubora wa Ligi ya Mabingwa Afrika .
Sead Ramovic bado ana nafasi ya kuwapeleka Yanga Robo Fainali

Attachments