Y Yotram Ditram New member Joined Feb 17, 2025 Messages 2 Feb 17, 2025 #1 Naombeni mnisaidie kila nikijaribu ku- signup kwenye mfumo wa zimamoto nikiweka namba ya NIDA kwaajili ya verificmfumo unanirudisha kwenye login menu M Msaada Msaada K Msaada kila nikitaka kuverfy email zimamoto inakoma
Naombeni mnisaidie kila nikijaribu ku- signup kwenye mfumo wa zimamoto nikiweka namba ya NIDA kwaajili ya verificmfumo unanirudisha kwenye login menu M Msaada Msaada K Msaada kila nikitaka kuverfy email zimamoto inakoma
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,230 Feb 17, 2025 #2 Yotram Ditram said: Naombeni mnisaidie kila nikijaribu ku- signup kwenye mfumo wa zimamoto nikiweka namba ya NIDA kwaajili ya verificmfumo unanirudisha kwenye login menu Click to expand... Kufanikisha jaribu kutumia PC au nenda internet cafe mkuu Upvote 0 Downvote
Yotram Ditram said: Naombeni mnisaidie kila nikijaribu ku- signup kwenye mfumo wa zimamoto nikiweka namba ya NIDA kwaajili ya verificmfumo unanirudisha kwenye login menu Click to expand... Kufanikisha jaribu kutumia PC au nenda internet cafe mkuu
Y Yotram Ditram New member Joined Feb 17, 2025 Messages 2 Feb 17, 2025 #3 Nimetumia simu na PC lakin bado naona sijafanikisha kila nikiweka NIDA haileti maswali ya kuiverify inanileta kwenye log in menu. Upvote 0 Downvote
Nimetumia simu na PC lakin bado naona sijafanikisha kila nikiweka NIDA haileti maswali ya kuiverify inanileta kwenye log in menu.