N

SEHEMU YA KUJAZA TAARIFA ZA ELIMU MFUMO WA AJIRA POLISI

NYANDU

New member

Reputation: 1%
Joined
Nov 29, 2024
Messages
1
1.Nimeweka elimu mfumo wa ajira wa police lakini education status inaandika pending.. je ni kwangu tu au ndo mfumo upo hivyo kwahiyo niendelee tu kutuma maombi..?

2. ukitumia search mode, mfumo hauruhusu kupakia cheti wala transcript..je nikisubmitt haina shida niendelee na sehemu zingine..?
 
  • Like
Reactions: Sia

1. Hiyo Education status nahisi ni kwako tu au kuna kitu umekiruka hakiki upya

2. Itakuwa ni swala la mfumo tu jaribu mara kwa mara
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom