Y Yotram Ditram New member Joined Feb 17, 2025 Messages 2 Feb 17, 2025 #1 Naombeni mnisaidie kila nikijaribu ku- signup kwenye mfumo wa zimamoto nikiweka namba ya NIDA kwaajili ya verificmfumo unanirudisha kwenye login menu MSAADA WA BARUA Msaada kila nikitaka kuverfy email zimamoto inakoma
Naombeni mnisaidie kila nikijaribu ku- signup kwenye mfumo wa zimamoto nikiweka namba ya NIDA kwaajili ya verificmfumo unanirudisha kwenye login menu MSAADA WA BARUA Msaada kila nikitaka kuverfy email zimamoto inakoma
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,648 Feb 17, 2025 #2 Yotram Ditram said: Naombeni mnisaidie kila nikijaribu ku- signup kwenye mfumo wa zimamoto nikiweka namba ya NIDA kwaajili ya verificmfumo unanirudisha kwenye login menu Click to expand... Kufanikisha jaribu kutumia PC au nenda internet cafe mkuu Upvote 0 Downvote
Yotram Ditram said: Naombeni mnisaidie kila nikijaribu ku- signup kwenye mfumo wa zimamoto nikiweka namba ya NIDA kwaajili ya verificmfumo unanirudisha kwenye login menu Click to expand... Kufanikisha jaribu kutumia PC au nenda internet cafe mkuu
Y Yotram Ditram New member Joined Feb 17, 2025 Messages 2 Feb 17, 2025 #3 Nimetumia simu na PC lakin bado naona sijafanikisha kila nikiweka NIDA haileti maswali ya kuiverify inanileta kwenye log in menu. Upvote 0 Downvote
Nimetumia simu na PC lakin bado naona sijafanikisha kila nikiweka NIDA haileti maswali ya kuiverify inanileta kwenye log in menu.