- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Michezo ya mapema kabisa Leo Kwenye Kombe la shirikisho Africa CAFCC Imetamatika huku Simba Mnyama akipata Ushindi wake wa kwanza katika ardhi ya mwarabu nchini Tunisia ambapo ameondoka na Ushindi wa Goli Moja Kwa bila Dhidi ya Cs Sfaxien,
Huku Stellenbosch FC wakishinda mbili bila Dhidi ya CD Lunda sul na ASC Jaraaf akishinda bao Moja Dhidi ya Orapa United huku Asec mimosa wakitoka suruhu ya bao Moja Kwa Moja Dhidi ya USM Alger na Al Masry sc wakiwa suruhu Dhidi ya Zamarek huku Enyimba Fc wakishinda bao nne Kwa Moja Dhidi ya Associacao black bull's.