- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi anatarajia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca ya Morocco kuchukua nafasi ya kocha Ricardo Sa Pinto aliyefutwa kazi wiki iliyopita.
TAARIFA: YANGA SC Yatangaza Kuachana na Kocha Mkuu Angel Miguel Gamondi na Kocha Msaidizi Moussa..
|
|
Habari za Michezo CV ya Kocha Mpya wa Yanga SC Sead Ramović 2024/2025 Mrithi wa Gamondi
|