Mousa PinPin Camara Goalkeeper Wa Simba sports club

Mousa PinPin Camara Goalkeeper Wa Simba sports club

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
Msimu uliopita Vumi Ley Matampi alitwaa Tuzo ya golikipa bora akiwa na Cleen sheet 15 kwenye mechi 24 za Nbc PL alizosimama langoni.

Msimu huu 2024/2025 Moussa Pinpin Camara tayari ana cleen sheet 12 mzunguko wa kwanza tu... (mechi 15)

Amebakiza Cleen sheet 3 kuifikia rekodi ya Matampi aliyoweka msimu jana 2023/2024 akiwa na Coastal Union.

Sioni wa kumzuia Camara kutwaa Tuzo hii
FB_IMG_1735469341638.webp
 
Back
Top Bottom