M

Msaada mfumo wa zimamoto Msaada

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Wewe hapo una login ila hujaclick create account
Kufungua account bonyeza register
Screenshot 2025-11-13 224913.webp

Kisha ingiza taarifa zako
Screenshot 2025-11-13 225000.webp


Na baada ya kuingiza hizo taarifa nenda kwenye email yako kisha confirm na verify account yako. Kisha endelea kujaza taarifa zingine n.k.

Kumbuka kila nakala utakayo iweka kwenye mfumo wa ajira portal hakikisha ime hakikiwa na mwanasheria au wakili.
@Aneth Benjamin
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom