M

Msaada NIDA

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hello, samahani kwa mfano kama nida ilikuwa na makosa ukajisajiri ajiraportal, ukafika muda ukailekebisha sasa unataka uweke nida mpya kwenye ajira portal unaweza kufanyaje ili ubadilishe nida
Tembelea ofisi za utumishi (Ajira Porat) au tuma maelezo yako kamili yote ukiambatanisha na namba yako ya NIDA kwenda ict@ajira.go.tz
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom