J james zengwe New member Reputation: 1% Joined Dec 16, 2024 Messages 4 Yesterday at 5:49 AM #1 Naomba kujua mfano muda wa usaili kabla ya vituo kupangwa ulikua ni saa moja kamili ila baada ya kupangwa vituo vya usaili,kwenye vituo muda unaonesha usaili ni saa tano,je tunafuata muda gani apo? U Usaili wa Amali(assistant teacher vocational-Veta)Electrical Installation N Usahili wa Polisi
Naomba kujua mfano muda wa usaili kabla ya vituo kupangwa ulikua ni saa moja kamili ila baada ya kupangwa vituo vya usaili,kwenye vituo muda unaonesha usaili ni saa tano,je tunafuata muda gani apo? U Usaili wa Amali(assistant teacher vocational-Veta)Electrical Installation N Usahili wa Polisi
S Sia Moderator Staff member Reputation: 49% Joined Oct 20, 2024 Messages 422 Yesterday at 11:15 AM #2 Login kwenye akaunti yako ule muda ulioandikwa basi ndio muda kamili. Usaili ni saa moja asubuhi @james zengwe Upvote 0 Downvote
Login kwenye akaunti yako ule muda ulioandikwa basi ndio muda kamili. Usaili ni saa moja asubuhi @james zengwe